Kivunjo ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wachagga, yaani ni lugha moja katika mnyororo wa lugha za Kichagga. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kivunjo imehesabiwa kuwa watu 300,000.
Hii lugha inazungumzwa katika maeneo ya Chaga, Kilimanjaro.
Tunatamani mno kuueneza ujumbe wa habari njema nchini kote Tanzania. Naomba uungane nasi.